SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, October 24, 2012

Bandari Yakanusha Taarifa Za Kuharibika Kwa Kituo Cha Kushushia Mafuta.


Mamlaka ya bandari imekanusha taarifa za kuharibika kwa kituo cha kushusha na kupakia mafuta cha Kurasini, kunakodaiwa Kusababisha tatizo la uhaba wa mafuta ya petroli na dizeli linaloanza kujitokeza katika baadhi ya mikoa hapa nchni ikiwemo jiji la Dar Es Salaam.

0 comments:

Post a Comment