Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) jijini Dar es salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.
Saturday, September 15, 2012
UHOLANZI YATOA BILIONI 33 KWA AJILI YA USAMBAZAJI WA UMEME WILAYA YA MPANDA, BIHARAMULO NA NGARA
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Saturday, September 15, 2012
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Labels:
BIHARAMULO NA NGARA,
UHOLANZI YATOA BILIONI 33 KWA AJILI YA USAMBAZAJI WA UMEME WILAYA YA MPANDA
0 comments:
Post a Comment