SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, September 30, 2012

Baadhi ya Majina na Matokeo ya Chaguzi za CCM-NEC

 Bw Frederick Lameck Mwakalebela
  Bw. Salim Abri Asas
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa mjini Abed Kiponza ambaye ameshinda  tena  kiti  hicho
 Laurance Masha
  Phares Magesa

--- 
 Kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile updated his status: "Results: Chairman Sikunjema Yahya Shaban and NEC member Phares Magessa. Congrats to the new team #TemekeCCMelection"


Shilatu aukwaa Uenyekiti CCM, Nyamagana. Masha Aukwaa Ujumbe NEC Taifa.



Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya Vijijini, na baadaye kuhamia CCM, Ipyana Seme ameshinda katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya Vijijini kwa kupata kura 869 dhidi ya William Simwai, aliyepata kura 526.



Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbeya ambaye alihamia CCM, Capt. Sambwee Shitambala ameshinda nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Mbeya Mjini. Pia, Mwandishi wa habari Charles Mwakipesile ameshinda na kuchaguliwa katika nafasi ya Mkutano Mkuu wa CCM-Taifa.




NAFASI YA MWENYEKITI CCM WILAYA IRINGA MJINI 

(Majina yaliyoandikwa kwa wino uliokolezwa ndiyo ya walioshinda)


Kura zilizopigwa 586 zilizoharibika 2 kura halali 584

Omary Iddy Mchomba 62
Eliudi Mvela 224
Abeid kiponza 298


MJUMBE NEC Idadi ya kura 538 kura zililozoharibika 14 kura halali 524 



Enock Ugulumu 62

Michael Mlowe 86
Vitus Mushi 243
Mahmudu Madenge  281
Zainabu kufakunoka
Chiku masanja


Nafasi ya wazazi halmashauri kuu nafasi mbili



Donald  21

Chande Salum Mbega 47
Aloyce kibiki 141
All mbata  269
Bernad mbigili 244
Shedraki  Tito mkusa 334


UWT nafasi nne 

Donisia Daudi  128
Christina Mgongolwa  150
Hellen Machibya 162
Sarida ally 167
Midaw William 204
Halima  Hassan 266
Ashura Jongo  291
Nikolina  Lulandala 325
Fatuma Daudi 338


UWT Vijana nafsi 4



Barton Sanga 83

Asaki oketo 152
Pendo ojwano 188
Nuru mwinuka 198
Adam Ramadhan 235
Ester  Mobo 243
Ally Simba 250
Salum kaita 264
Mwaija Mwinyikayoka 270
Clara Shirima 299


MKUTANO MKUU WA TAIFA wajumbe watano



Said Rubea  73

George Mwaitege 74
Mfamlopela luvambe 74
Lukasi Mgongolwa 75
Michael Mlowe 108
Gidion Kikumbwe 83
Emanueli Magoda 120
Jurio Mgonja 127
Bernad Mbigiri  132
Fatuma Ngole 199
Agusta Mtemi 192
Abeid kiponza 235
Amani Mwamwindi 311
Fredriki Mwakalebela 321
Salim Asas 346

0 comments:

Post a Comment