Mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Yombo, Kiwalani, Dar es Salaam ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa amebandika tangazo lenye ujumbe wa kutohesabiwa Sensa katika geti la nyumba yake licha ya Serikali kupiga marufuku matangazo ya aina hiyo.
(Na Mpeli Jr Ngonywike).
0 comments:
Post a Comment