Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Karim Ribery kwa pamoja na kiungo wa timu ya Bayern Munich ya Ujerumani Frank Robery wanakabiliwa na tuhuma za kufanya ngono na kahaba mwenye umri wa miaka chini ya 18.
Hata hivyo wachezaji hao wamekiri tukio hilo ila wamejitetea kuwa hawakujua umri wa umri wa kahaba huyo Zahia Dehar, ambaye kwa wakati huo alikuwa na miaka 16.
Kwa sheria za nchini Ufaransa mtu anayepatikana na hatia ya kutenda kosa la aina hiyo hukumu yake huweza kuwa kifungo cha hadi miaka mitatu au kutozwa faini ya euro 45, 000.
Na Dewji Blog
0 comments:
Post a Comment