MWENYEKITI WA JUMUIYA,KATIBU,MWEKA HAZINA WANASHUTUMIWA NA WANAJUMUIYA WA WASHINGTON KWA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA CHAMA CHA CHADEMA KWA AJILI YA KUFANYIA PICNIC NA PARTY YA USIKU VITAKAVYO FANYIKA JUMAMOSI HII YA TAREHE 25.HABARI ZA KUHAMINIKA ZINASEMA KUWA JUMUIYA ILIKUWA NA PESA TASLIM ZISIZOZIDI DOLLAR 2000,AMBAZO ZINATOSHA KUFANYIA PARTY YA MCHANA YA PICNIC PEKEYAKE LAKINI KWA KUSHANGAZA WAKATI WANAJUMUIYA WAKIWA WANAHOJI KWANINI PARTY YA USIKU IFANYIKE WAKATI JUMUIYA IKIWA HAINA FEDHA ZA KUTOSHA....
.JUMUIYA HIYO IMEWEZA KUJA NA FUNGU KUBWA LA PESA AMBAZO WATAZITUMIA KUFANYA PARTY ZOTE MBILI KUBWA NA ZAKIFAHARI IKIWA NIPAMOJA NA KUWA NA CHAKUL;A BURE MCHANA NA USIKU,VINYWAJI BURE MCHANA NA USIKU POMBE BURE MPAKA SAA NANE USIKU WAKATI UKUMBI PAMOJA NA MUZIKI VIKIWA VIMELIPIWA PESA CASH NA SIO MKOPO.HABARI ZA KUAMINIKA NA USHAHISI UPO ZINASEMA KUWA KATIBU WA JUMUIYA BWANA AMOSI CHEREHANI NI MWEKA HAZINA WA CHADEMA WASHINGTON NA NDIYE AMBAYE AMEWEZA KUHAMISHA PESA HIZO KUTOKA CHADEMA ILI ZIWEZE KUFANYA HAFLA HIYO.WANANCHI WANAHOJI KWA NINI MWENYEKITI AMBAYE ALICHAGULIWA KWA KISHINDO AMEWEZA KUKUBALI SWALA HILI WAKATI JUMUIYA HAIFUNGAMANI NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA?....
WAKEREKETWA WA JUMUIYA WAMEIPA MAMLAKA KAMPUNI YA ERNEST & YOUNG KUFANYA INDEPENDENCE AUDITING YA JUMUIYA ILI KUJUA INCOME AND EXPENDITURE ZA JUMUIYA HIYO ZIMETOKA WAPI NA ZIMETUMIKA VIPI KABLA YA HATUA ZAIDI KUCHUKULIWA...WANAJUMUIYA TUNAOMBA KUITISHA MKUTANO NA KUPIGA KURA ZA MAONI YA KUWA NA IMANI NA UONGOZI KWANI BADO NIMCHANGA NATULIUCHAGUA KWA IMANI HATUTAKI VYAMA VYA SIASA VITUINGILIE...RUSHWA NI ADUI WA HAKI!
0 comments:
Post a Comment