SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, August 8, 2012

RAIS KIKWETE, MUSEVENI,KAGAME,NA RAIS KABILA WAKUTANA JIJINI KAMPALA KATIKA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU.

http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2012/08/Marais-wa-Nchi-za-Maziwa-Makuu.jpg
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Paul Kagame wa Rwanda(kushoto),Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Watatu kulia) na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mkutano wa viongozi wan chi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda jana jioni.
http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2012/08/Rais-Kikwete-Kagame-na-Rais-Museveni.jpg
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda. (Picha na Freddy Maro).

0 comments:

Post a Comment