
Mmoja wa washitakiwa aliyeshitakiwa pamoja na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, Grace Martine (katikati), akisaidiwa na ndugu zake kutoka Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam jana,baada ya kushinda kesi yao ya kuhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya jumla ya Euro milioni 2.Picha na Richard Mwaikenda na Daniel Mwita




0 comments:
Post a Comment