SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 4, 2012

RAIS KIKWETE AREJEA TOKA RWANDA NA BURUNDI


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Saidi Mecky Sadik.
 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohudhuria sherehe za miaka 50 ya uhuru wa nchi hizo.
(PICHA ZOTE NA IKULU)

0 comments:

Post a Comment