Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa iliofanyika huko Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisisitiza jambo katika mahojiano na Mwandishi wa Habari wa TBC Haji Bwegege kuhusiana na suala zima la Sensa huko Tunguu katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa Zanzibar.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar Mohamed Hafidh Rajab akifafanua jambo kuhusiana na Sensa ya Watu na Makaazi 2012 katika mahojiano yake na Mwandishi wa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Fakih Mjaka huko katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya Mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa Zanzibar.
-Baadhi ya Wakufunzi wa Sensa ya Watu na Makaazi ya mwaka 2012 Ngazi ya Mkoa waliohudhuria katika Mafunzo ya Wakufunzi hao iliofanyika huko Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
0 comments:
Post a Comment