SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 18, 2012

Eneo La Tukio Ilikozama Boti Ya Kampuni Ya Seagull Ikitokea Dar-es-salaam Kuelekea Zanzibar.

Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
 Waokoaji wakiokoa moja ya maiti. wakiwa katika boti ya Kilimanjaro. 
  Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
 Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya combo cha kuokolea wakielea baharini wakisubiri kuokolewa.
 Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la kuokowa majeruhi. 
 Herikota ya Jeshi la Polisi ikiwa eneo laq tukio.
 Boti iliozama ni kama hii ni ni pacha wake.
 Boti ya Fly ikiondoka katika bandari ya Zanzibar kueleke kutowa msada w uokoaji.

 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Masoud akiwa katika boti ya Kilimanjaro akiwa sehemu ya Tukio ilikozama boti hiyo maeneo ya Chumbe.
 Tagi la Shirika la Bandari likiwa katika sehemu ya tukio.


CREDIT TO OTHMAN MAPARA BLOG

0 comments:

Post a Comment