SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, July 7, 2012

CHAMELEONE ATUA JIJINI DAR, TAYARI KWA SHOO YA LEO

Jose Chameleone akiwa Uwanja wa Taifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili leo.
Chameleone akitoa saluti kwa waliofika kumpokea.
Chameleone akilakiwa na mmoja wa waratibu wa Tamasha la Matumaini, Benjamin Mwanambuu.
...Wakielekea kwenye gari.
...Akishuka ndani ya gari nje ya ofisi za Global Publishers.
--
Msanii Jose Chameleone kutoka nchini Uganda, ametua jijini Dar es Salaam muda huu tayari kwa shoo ya Tamasha la Matumaini linalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment