SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 7, 2012

TIGO Waja Na Internet Mega Boksi

Meneja wa Operesheni za huduma za Internet Tigo Bw, Kwame Makundi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Tigo Jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa huduma mpya ya tigo inayokwenda kwa jina la 'TIGO INTERNET MEGA BOKSI' ambapo alisema kuwa wateja wa tigo wataweza kujipatia vifurushi vipya vya mtandao vinavyo endana na mahitaji yao. 
Makundi alisema kuwa Mteja wa Tigo ataweza kununua kifurushi cha siku, wiki, au mwezi  pamoja na kufanya uchaguzi unaoendana na  matumizi mbali mbali ya huduma za kimtandao.alielezea namna ya kupata vifurushi hivyo kuwa ni, kwa kupiga *148*01# ambapo wateja watapata fursa ya kuchagua muda wa  viofurushi wanavyovihitaji kulia ni Alice Maro afisa habari wa Tigo..

0 comments:

Post a Comment