Wananchi wa Jiji la Mbeya wakiwa wana haha kupata Mafuta ya taa katika kituo cha mafuta
Mdau akiwa anatazama vema kama anazo pesa za kununua Mafuta hayo baada ya kushtuka kuambiwa kuwa bei imepanda mpaka kufikia 3500
Kila mtu anataka kupata mafuta kwa muda katika eneo hilo Mpaka wenye mapipa nao wamo
Wadau wakitazama kwa umakini jinsi wanavyo wekewa mafuta muda huuu
Kibao hiki kinaonesha Bei ya mafuta ya awali
Hiki ndicho kituo cha mafuta ambacho kipo Ng'ambo ya Idara ya maji Jijini Mbeya
CHANZO: BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment