SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, June 7, 2012

Rais Jakaya Kikwete Aagana na Balozi wa Canada Nchini Tanzania

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada anaemaliza Muda wake nchini Tanzania  Bw Robert J. Orr Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo Juni 7, 2012 katika Ikulu ya Dar es salaam akizungumza na Balozi wa canada Nchini Tanzania Bw Robert J. Orralipokwenda kuagana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo.Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment