SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, February 10, 2012

Wakamatwa na meno ya tembo 30, Morogoro, Tanzania

Picture
Vijana Erick Kiari kushoto Abel Adrian katikati na Anaheri Mkindi wakiwa chini ya ulinzi katika kituo cha polisi mkoa wa Morogoro baada ya kutuhumiwa kukutwa na meno ya tembo vipande 51 wakati wakisafiri kutoka mkoa wa Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kufuatia kukamatwa eneo la Msamvu mkoani Morogoro. 
Picture
(picha: blogu ya Juma Mtanda)

0 comments:

Post a Comment