Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Ijumaa kufuatilia matibabu. Tundu hilo ndipo inapotokea haja kubwa ikichanganyika na damu na alishawahi kulazwa hospitalini hapo kwa takribani miezi miwili na bado hajapata nafuu.
Picha na Mohamed Mambo.
0 comments:
Post a Comment