SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, February 13, 2012

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd Awasilisha Mchango Kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kwa Waathirika wa Mafuriko Yaliyotokea Jinini Dar es Salaam Hivi Karibuni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 50,000,000/= kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam hivi karibuni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Idd kabla ya kupokea hundi ya Shilingi milioni hamsini (50,000,000/=) ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam hivi karibuni.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

0 comments:

Post a Comment