SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, February 10, 2012

Growing Up African Season II kuanza Aprili

Washiriki wa Growing Up African (GUA)Kutoka Kushoto ni Vicky Rugakingira (Mama), Andrew Lujwangana,Beatrice Lujwangana, Johnson Lujwangana, Elizabeth Lujwangana na Jessica Lujwangana katika pozi .
Vicky Rugakingira (Mama).
Elizabeth Lujwangana.
Beatrice Lujwangana.
Jessica Lujwangana.
Johnson Lujwangana.
Andrew Lujwangana.
****
Growing Up African (GUA) ni kundi linaloundwa na Watanzania sita wa familia moja waishio nchini Marekani, watano wakiwa vijana na mmoja akiwa mama (Mama Vicky).

Kundi hili ambalo washiriki wake  ni wenyeji wa Mkoa wa Kagera, linaonyesha maisha halisi ya  Watanzania jinsi waishivyo nchini Marekani na mwezi Aprili 2012 wanatarajia kuanza Season II ya shoo yao ambayo imekuwa ikirushwa kupitia kituo cha EATV.

Washiriki hao ni : Johnson Lujwangana, Jessica Lujwangana, Beatrice Lujwangana, Elizabeth Lujwangana, Andrew Lujwangana, na Vicky Rugakingira  (Mama).
Washiriki hao ni : Johnson Lujwangana, Jessica Lujwangana, Beatrice Lujwangana, Elizabeth Lujwangana, Andrew Lujwangana, na Vicky Rugakingira  (Mama).
Source GPL.

0 comments:

Post a Comment