SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, January 30, 2012

TAARIFA YA MSIBA WA SAID TAMIMU ALLY

Ndugu zangu
TAARIFA YA MSIBA WA SAID TAMIMU ALLY
Ningependa kuwajulisha kuwa  Tamimu amefariki dunia Usiku wa kuamkia Jumapili  na mazishi yalifanyika jana (Jumapili) saa kumi jioni makaburi ya Tabata Segerea.

Natoa shukrani zangu za dhati na kwa niaba ya familia ya ndugu Said Tamimu Ally.Nashukuru sana kwa wote waliotoa michango yao ya mali na hali kwa ajili  ya kuokoa maisha ya  ndugu yetu Tamimu.Shukrani pekee ziwaendee ndugu walioko UK, USA Norway, Canada Muscat, Dar es salaam,Tabora, Arusha na sehemu nyinge nyingi  kwa msaada wao wa hali na mali ikiwemo ushauri na kutoa pole.

0 comments:

Post a Comment