SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, January 16, 2012

BINTI MDOGO ANAYEJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJI APATA WANAFUNZI - MBEYA

Binti pichani Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Jiji la Mbeya kwa umahiri anaounesha kwa kutengeneza Pikipiki . 
Pichani Binti huyo akirekebisha moja ya Pikipiki kubwa aina ya T-Better katika Gereji iliyopo eneo la Srereo Jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.(Picha na Ezekiel Kamanga)
Vijana wa kiume ambao hufundishwa utengenezaji wa pikipiki na Binti Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Jiji la Mbeya kwa umahiri anaounesha kwa kutengeneza Pikipiki katika Gereji iliyopo eneo la Srereo Jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.
CHANZO: BOFYA

0 comments:

Post a Comment