
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya kuufungua Msikiti wa Masjid AL Haramayn Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo,(kushoto) Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya kuufungua Msikiti wa Masjid AL Haramayn Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo,(kushoto) Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ali Juma Shamuhuna.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akitoa nasaha zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu wakati wa ufunguzi wa Msikiti wa Masjid Al- Haramayn Donge Muwanda, Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo.

Baadhi ya wananchi na viongozi waliohudhurika katika sherehe za ufunguzi wa Msikiti Masjid Al- Haramayn Donge Muwanda uliofunguliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment