Picha ya Kava ya Sinema mpya ya John English Reborn iliyozinduliwa hivi karibuni.
Mdau Kelvin Twissa akiwa na wadada warembo wa Airtel
Meneja Uhusiano wa Airtel,Jackson Mmbando (kati) akiwa na Angel Justice (shoto) pamoja na Mdau.Mpiganaji wa Glogu ya Jamii,Othman Michuzi akiwa na Super Model,Angel Justice kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa sinema wa mlimani city kucheki sinema mpya ya John English Reborn.
0 comments:
Post a Comment