Rais Jakaya Kikwete Akutana na Waziri Wa Afya na Huduma Za Jamii Wa Marekani
Rais Jakaya Kikwete (Kulia)na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhadrt wakishuhudia wakati Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Waziri wa Afya na Huduma za Jamiii wa Marekani Bi Kathleen Sebelius Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana.Mgeni huyo yupo nchini kwa Ziara ya Kikazi
0 comments:
Post a Comment