Yaya Toure wa Manchester City akisherehekea goli lake baada ya kuwasambaratisha Man U katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA linalofadhiliwa na E.ON mchezo ambao ulifanyika katika uwanja wa Wembley Stadium.
Referee Mike Dean akimtoa kwa kadi nyekundu Paul Scholes baada ya kumfanyia madhambi Pablo Zabaleta wa Manchester City.
Referee Mike Dean akimtoa kwa kadi nyekundu Paul Scholes baada ya kumfanyia madhambi Pablo Zabaleta wa Manchester City.
0 comments:
Post a Comment