SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, November 4, 2010


URBAN PULSE wamtambulisha Diamond Ubalozini.

 Baada ya Kuwasili ndani ya UK jumanne jioni Urban Pulse walimpeleka  Msanii Mahiri wa Kizazi Kipya Diamond aka mzee wa Mbagala katika ubalozi wa Tanzania hapa jijini London kumtambulisha na kutoa Salam kwa Mh Balozi, Naibu Balozi na pamoja na staff wake. Diamond ametua kwa ajili ya Kufanya  Urban Tour dhidi ya malaria. Show ya kwanza itafanyika jumamosi hii hapo ndani ya mji wa MILTON KEYNES CLUB OPUS ikifuatiwa na THE CLUB CROYDON 12/11.
NYOTE MNAKARIBISHWA,
URBAN PULSE CREATIVE
Mkuu wa  utawala Bi Carol Chipeta na Diamond.
Mh Balozi Kallaghe, Diamond na Kaimu Balozi Chabaka Uingereza.
 Frank, Balozi Kallaghe, Diamond, Kaimu Balozi Chabaka, Baraka na Nocha.

0 comments:

Post a Comment