SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 8, 2010

RAIS JK AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Jaji Frederick Werema, akila kiapo mbele ya Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali jana. Sherehe za kuapishwa kwa jaji Werema zilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi miongozo ya kazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema wakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana. 
Picha na Freddy Maro/IKULU

0 comments:

Post a Comment