BREKING NEWS: JK AMTEUA JAJI WEREMA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Jaji Frederick Werema
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE,AMEMTEUA JAJI FREDERICK MWITA WEREMA KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MUDA MFUPI BAADA YA KUAPISHWA KWAKE LEO KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR.
JAJI WEREMA ANAPATA NAFASI HIYO KWA MARA NYINGINE KUENDELEA NA WADHIFA HUO AMBAO ALIKUWA NAO HAPO AWALI..
JAJI WEREMA ANAPATA NAFASI HIYO KWA MARA NYINGINE KUENDELEA NA WADHIFA HUO AMBAO ALIKUWA NAO HAPO AWALI..
0 comments:
Post a Comment