SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, July 10, 2010

Fiesta Jipanguse 2010 ndani ya Matongee A-Taun
Wasanii wa muziki wa Hip hop wajulikanao kwa jina la Wazushi wakikamua jukwaani ndani ya Matonge Club kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 mjini Arusha.
Wakazi wa A-Town walijitokeza kwa wingi ndani ya Matongee Club
Mtangazaji wa Clouds FM kupitia Leo Tena akiwa amepozi na marafiki zake,kati ni Kuruthum na Tirra wakiwa wamepozi usiku huu.
Mwimbaji mkonge Kida Waziri akiwa amepozi na Tirra pamoja na mtangazaji wa kipindi cha Bambataa kupitia redio ya Clouds FM
Kida Waziri akiwa amepozi na Sofia Kessy usiku huu ndani ya Matongee Club

Marry,Meneja Vipipndi wa Clouds FM Sebastian Maganga,Mtangazaji wa kipindi cha Michezo Clouds FM Ibrahim Masoud a.k.a Maestro,Tirra,Kida Waziri pamoja na Sofia Kessy.
Mwanamuzi mkongwe wa muziki wa dansi Ndandaa Kossovo kulia na Skwadi lake zima wakitumbuiza ndani ya Matongee Club mjin Arusha.
Ndandaa Kossovo akikamua jukwaani mbele ya umati wa wakazi wa Arusha waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta jipanguse 2010

0 comments:

Post a Comment