
Liang Yong akisoma gazeti katika wodi ya hospitali ya Chongqing Manispaa.

Manesi wakimsogeza Liang

Liang Yong akimshika kichwa mwanae wa miaka
3-year.

Liang Yong akiwa amelala kitandani wanae walipomtembelea hospitalini.

Liang Yong akifanya mazoezi ya kutembea.

Liang Yong akipata lunch na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka
5

Liang Yong akipata matibabu mkewe Tang Xiaoyan akiwa ameketi karibu yake.

Nesi akimpatia huduma
Liang Yong akiwa amepozi sofani,
msn news.
0 comments:
Post a Comment