SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 31, 2010

No biffu tena kati ya Berry Black na Berry White


"Juzi nashukuru Mungu nimeweza maliza tofauti kati ya berry white na berry black kwa kuwakutanisha tena katika uzinduzi wa album ya berry black (nafsi yako) na album ya chege (karibu kiumeni) bif ilidumu tokea mwaka 2006 walipotoa wimbo wa mwisho ulioitwa na wewe tu ft.shirko
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana,so 2 berry haipo tena watabaki kutumia majina yao b white au b black
Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa
Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah
Kuendeleza Zenji Fleva" Guru Ramadhani (kati pichani) ambaye pia ni Meneja wa studio ya Guru Recordz
Jiachie blog

0 comments:

Post a Comment