SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 10, 2010

NMB yatoa msaada wa vitabu shule ya sekondari Kilimangwido

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondary Kilimangwido wilayani Pangani, Othman Mzirai akipokea sehemu ya msaada wa vitabu vya secondari kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Mahusiano benki ya NMB, Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada toka benki kwa ajili ya kusaidia shule hiyo iliyokuwa na uhaba wa vitabu. Kulia ni Meneja wa NMB tawi la Pangani, Elisa Elikunda. Makabidhiano yalifanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment