SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 31, 2010

MABADILIKO YA MCHANGO WA MAHAFALI YA WAHITIMU WA JUMUIYA YA TSAH 2010

Hatimaye Mwenyekiti wa kamati ya muda ya mahafali kwa mwaka huu Mh. Mustafa Said(Matata) anaomba radhi kutokana na mabadiliko ya kiwango cha mchango kilichotangazwa hapo awali.Kutokana na sababu zisizozuilika  na kutangaza rasmi kiwango cha mchango kwa kila mwanajumuiya anatakiwa kuchangia mchango wa Rupees 900 badala ya kile kilichotangazwa awali, na sehemu itayofanyika mahafali kwa wahitimu wa mwaka huu tarehe 26/6/2010 ni pale pale kama inavyoonekana pichani,sehemu inaitwa LEONIA RESORT (HYDERABAD INDIA).
Kamati imeahidi mengi makubwa na mazuri ndani yake mnaombwa wanajumuiya wote kujitokeza kwa wingi.

Mandhari tulivu  ndani ya Leonia Resort  kama yanavyoonekana.
Sehemu ya menu  hiyo mwanajumuiya usingoje kuadithiwa njoo ujionee mwenyewe

0 comments:

Post a Comment