SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 10, 2010

Ajali Segera,watano wajeruhiwa vibaya
Basi aina ya mitsubishi lenye namba T 895 BGE kama linavyoonekana mara baada ya kufanya utaratibu wa kuyaondoa barabarani pindi lilipogongana uso kwa uso na basi la Osaka Exective katika kijiji cha Komakocho,kilichopo Segera.
Basi la Osaka Excutive lenye namba T 417 AAG kama linavyoonekana mara baada ya kuondolewa barabarani.
Dereva wa gari aina ya mitsubishi lenye namba T 895 BGE lililokuwa likitokea Dar na kuelekea jijini Arusha akifanyiwa mpango wa kutolewa baada ya kubanwa miguu katika ajali iliyotokea leo maeneo ya Segera.ukiachilia dereva huyu kuna watu wengine watano ambao wamejeruhiwa vibaya katika ajali hiyo na kufanyiwa utaratibu wa kukimbizwa hospitali.
Abiria wakiangalia basi lililokuwa limepata ajali huku wakitafakari namna ya kuondoka eneo la tukio
msaada wa hapa na pale ukiendelea kutolewa na baadhi ya abiria wa mabasi mengine yaliyofika katika eneo hilo la ajali

0 comments:

Post a Comment