SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Zaidi ya abiria elfu moja wakwama kituo cha mabasi Ubungo.. Show all posts
Showing posts with label Zaidi ya abiria elfu moja wakwama kituo cha mabasi Ubungo.. Show all posts

Tuesday, December 24, 2013

Zaidi ya abiria elfu moja wakwama kituo cha mabasi Ubungo.




Zaidi ya abiria elfu moja wamekwama katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo kufuatia ongezeko kubwa la abiria kituoni hapo ukilinganisha na idadi ndogo ya mabasi yaliyopo huku wengine waliokata tiketi wakiendelea kutelekezwa na mabasi husika kutoonekana.