SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Waziri Mkuu. Show all posts
Showing posts with label Waziri Mkuu. Show all posts

Monday, January 6, 2014

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Aupokea mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa uwanja wa ndege wa Nduli Iringa

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa  aliyekuwa  Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege  wa Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika  Desemba 6, 2014 kijijini  Magunga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa  Desemba 5, 2014 kwa ajili ya mazishi  yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba  6, 20

Thursday, October 24, 2013

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda afungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China,mjini Guangzhou leo

span style="color: #3d85c6; font-family: Arial, Helvetica, sans-serif;">
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Biashara kati ya Tanzani na China kwenye Hoteli ya Dong Fang mjini Guangzhou akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 24,2013.

Saturday, March 30, 2013

Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal,Waziri Mkuu, Mawaziri na Waheshimiwa Wabunge Walivyoshiriki Kuaga Mwili Wa Mbunge wa Jimbo la Chambani CUF, Salim Hemed Khamis Jjijini Dar es Salaam JANA

 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri Mstaafu, Edward Lowasa, na viongozi wengine wakishiriki shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Salim Hemed Khamis, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba kupitia CUF, aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zimefanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana Machi 29, 2013. Picha na OMR
 Rais Jakaya Kikwete, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani CUF, Salim Hemed Khamis, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa baada ya kuuguaa ghafla wakati akiwa katika Kikao cha Kamati ya Bunge cha Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam juzi. Marehemu amefariki kwa ugonjwa wa shinikizo la damu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya ndugu wa marehemu wakati viongozi wakiondoka kwenye ukumbi wa Karimjee baada ya kushiriki katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba, Salim Hemed Khamis (CUF), aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri, John Joel, akisalimiana na Samuel Sitta, katika Ukumbi wa Karimjee wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Salim Hemed Khamis, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba kupitia CUF, aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zimefanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana
Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu,Salim Hemed Khamis, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba kupitia Chama cha CUF, aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakiingiza kwenye gari tayari kuelekea uwanja wa ndege kwa safari ya kuelekea Pemba kwa maziko, yatakayofanyika jana.
 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Adam Malima, wakizungumza nje ya ukumbi wa Karimjee, baada ya kushiriki shughuli ya kuaga mwili wa marehemu,Salim Hemed Khamis, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba kupitia Chama cha CUF, aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais

Wednesday, December 21, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Ashiriki Sherehe Za Kuapishwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,akimtambulisha mwanae wa kiume (jina halikupatikana) kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za kumwapisha Rais huyo Mjini Kinshasa Desemba jana 20, 2011
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na mke wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,Olive katika shere za kumwapisha Rais hiyo Mjini Kinshasa Desemba Jana 20, 2011.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu