SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Walivyokutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Show all posts
Showing posts with label Walivyokutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi. Show all posts

Saturday, September 21, 2013

Wenyeviti wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF,Freeman Mbowe wa Chadema na James Mbatia wa NCCR-Mageuzi Walivyokutana na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema na Kukubaliana Maandamano Yaliyokuwa Yafanyike leo Yasitishwe,Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kufanyika Jangwani Leo

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam jana kwa ajili ya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema kuhusu mkutano wa hadhara wa kuhamasisha wananchi kuhusu mchakato wa katiba mpya, utakaofanyika leo katika viwanja vya Jangwani