SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Wakala wa M-pesa ajipiga risasi kichwani na kufa papo hapo. Show all posts
Showing posts with label Wakala wa M-pesa ajipiga risasi kichwani na kufa papo hapo. Show all posts

Tuesday, December 31, 2013

Wakala wa M-pesa ajipiga risasi kichwani na kufa papo hapo

DSC05341

Baadhi ya wakazi wa mjini Singida, wakiwa wamekusanyika katika duka la wakala wa M-pesa lililopo kwenye taasisi ya elimu ya watu wazima, muda mfupi baada ya mmiliki wa duka hilo Mashaka Omari Makiya,kujipiga risasi kwa kutumia Bastola yake na kusababisha kifo chake