SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Vijana wakamatwa msituni Mtwara na CD zenye mafunzo ya al-Qaeda. Show all posts
Showing posts with label Vijana wakamatwa msituni Mtwara na CD zenye mafunzo ya al-Qaeda. Show all posts

Tuesday, October 8, 2013

Vijana wakamatwa msituni Mtwara na CD zenye mafunzo ya al-Qaeda, al-Shabaab

zzzzzkamanda_mtwara_ca9c9.jpg
Na Abdallah Bakari, Mtwara
POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CDs za al-Shabaab.
Tukio hilo la aina yake limetokea katika mlima Makolionga wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa ambapo pia CDs zenye mafunzo mbalimbali ya kijeshi 25 zimekamatwa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen ameuambia "mtandao wa Kusini Leo" kuwa watuhumiwa hao