SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika tarehe 1 Januari. Show all posts
Showing posts with label Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika tarehe 1 Januari. Show all posts

Tuesday, December 24, 2013

Taarifa ya EWURA YA bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika tarehe 1 Januari, 2014



Mkurugenzi wa Uchumi Mdhibiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, alipokuwa akitangaza viwango vipya vya bei ya umeme. Kulia ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Anastas Mbawala. Picha na Silvan Kiwale  

Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015.