SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM. Show all posts
Showing posts with label SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM. Show all posts

Friday, April 4, 2014

SEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Kigoma Malima akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, alipowasili katika hoteli ya Ledger kuhudhuria semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam, na kuwakutanisha wadau na  wawekezaji katika sekta ya fedha.