Baadhi ya washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili katika Mashindano ya Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini katika kupitia muswada (script) waliopewa na majaji ili waweze kusoma na baadae kuingia mbele ya majaji na kuonyesha vipaji vyao kutokana na muswada (script) waliopewa.
Showing posts with label ONA JINSI WASHIRIKI 112 WALIVYOFANIKIWA KUINGIA HATUA YA PILI KATIKA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA KANDA YA ZIWA MKOANI MWANZA. Show all posts

Tuesday, April 8, 2014
ONA JINSI WASHIRIKI 112 WALIVYOFANIKIWA KUINGIA HATUA YA PILI KATIKA MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA KANDA YA ZIWA MKOANI MWANZA