SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Mvua Kali Zinazoendelea Zasababisha Madhara Ya Miundo Mbinu. Show all posts
Showing posts with label Mvua Kali Zinazoendelea Zasababisha Madhara Ya Miundo Mbinu. Show all posts

Friday, March 29, 2013

Mvua Kali Zinazoendelea Zasababisha Madhara Ya Miundo Mbinu


Mvua zinazondelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimeasababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya wilaya za Monduli na Karatu mkoani Arusha baada ya daraja la mto Kirurumo linaounganisha wilaya hizo kufunikwa na mawe na kusababisha maji kukata sehemu kubwa ya barabara hiyo .