SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Majina ya waliofariki katika ajali ya basi la Burdan. Show all posts
Showing posts with label Majina ya waliofariki katika ajali ya basi la Burdan. Show all posts

Friday, December 13, 2013

Majina ya waliofariki katika ajali ya basi la Burdan, Tanga

*Video Ya ITV Yenye Taarifa Hii Ya Ajali Imepachikwa Hapo Chini.

Basi la Burdan leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni ambapo mmoja wa majeruhi amesema kuwa basi hilo lilikwaruzwa na lori wakati dereva akijaribu kulipita kwenye daraja, jambo lililosababisha basi hilo kukosa uelekeo na kusererekea bondeni katika mteremko mkali wa kilima cha Kwedikwazu.