Rais Kikwete akimtunuku Nishani, Daraja la Kwanza, ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano, Ikulu jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2014.