SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MFUMUKO WA BEI WASHUKA. Show all posts
Showing posts with label MFUMUKO WA BEI WASHUKA. Show all posts

Tuesday, October 8, 2013

MFUMUKO WA BEI WASHUKA

a_e7f82.jpg
Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei toka ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi. Ruth Minja akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi Septemba 2013 ambapo umepungua hadi kufikia asilimia 6.1 kutoka asilimia 6.7 ya mwezi Agosti 2013.