SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MATUMAINI KATIBA MPYA ARIJOJO. Show all posts
Showing posts with label MATUMAINI KATIBA MPYA ARIJOJO. Show all posts

Saturday, April 5, 2014

MATUMAINI KATIBA MPYA ARIJOJO

Ukawaa_08cc8.jpg
Ikulu imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014.
Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue alilieleza gazeti hili kuwa kwa hali ya mchakato huo ilivyo sasa, wameshindwa kufikia lengo hilo, lakini hawajakata tamaa kuhusu kupatikana Katiba Mpya ndani ya mwaka huu.