SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Klabu kumng’oa Lionel Messi kwa Euro 400 milioni. Show all posts
Showing posts with label Klabu kumng’oa Lionel Messi kwa Euro 400 milioni. Show all posts

Tuesday, January 7, 2014

Klabu kumng’oa Lionel Messi kwa Euro 400 milioni


Lionel Messi Barcelona Wallpaper Free Download 2014 Wallpaper
JEURI ya pesa. Ndicho unachoweza kusema baada ya klabu tajiri Ulaya, Paris Saint-Germain na Manchester City kudaiwa kuwa zipo tayari kumng'oa, Lionel Messi, kutoka Barcelona kwa gharama yoyote ile.
Wakati ikiwekwa wazi kwamba thamani ya supastaa huyo wa Kiargentina ni Euro 400 milioni, klabu hizo zinazomilikiwa na matajiri wenye pesa ndefu, zimesema zipo tayari.