Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ameingilia kati Mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa muda mrefu katika kijiji cha Mawenzusi,wilaya ya Sumbawanga mjini.Mgogoro huo uliohusu Wananchi na anayedaiwa kuwa Mwekezaji inaelezwa kuwa maamuzi yalikwishatolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete,kuwa Wananchi wapewe kipao mbele na Mwekezaji apewe kiasi,lakini mpaka sasa hakuna lililotekelezwa kufuatia Watendaji waliokuwa wamepewa dhamana ya kulisimamia jambo hilo kusua sua na hatimaye kutopatiwa ufumbuzi wa haraka.
Showing posts with label KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWEKEZAJI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA. Show all posts
Showing posts with label KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWEKEZAJI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA. Show all posts
Saturday, April 5, 2014
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWEKEZAJI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Saturday, April 05, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Labels:
KINANA AINGILIA KATI MGOGORO SUGU WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA MWEKEZAJI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA