SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label HAFLA YA DAWATI NI ELIMU YAFANA SANA JIJINI DAR. Show all posts
Showing posts with label HAFLA YA DAWATI NI ELIMU YAFANA SANA JIJINI DAR. Show all posts

Wednesday, December 11, 2013

HAFLA YA DAWATI NI ELIMU YAFANA SANA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais - MAZINGIRA,Dkt. Teresia Huviza akizungumza machache wakati alipokuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Dawati ni Elimu iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa katika Ukumbi wa Kibo,Hoteli ya Hyatt Recency jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Malengo ya Kampeni hiyo ni kukusanya fedha kiasi cha zaidi ya Sh. Bil. 4.